Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Chomekea vizuri shati safi, then panga mabunda ya noti za tzs 10,000 zungusha kiuno kizima nakuambia hachomoki hapo
umenichekesha mpaka nimeanguka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chomekea vizuri shati safi, then panga mabunda ya noti za tzs 10,000 zungusha kiuno kizima nakuambia hachomoki hapo
Thanx for your concern, sijaenda mbali sana toka tubadilishane namba na siku hiyo alikuwa normal tu, napanga jinsi ya kumleta karibu.
Nisije nikaumia ka zamani,huwezi amini kwangu mapenzi nayaona kama almasi, sijawahi kuwa katika uhusiano wenye furaha, nimedanganywa ,nimependwa nisipopenda na nikashindwa kabisa kulazimisha hisia, sijua kwa nini inatokea kwangu tu,bora hata nitendwe ili nikose kabisa hamu ya kupenda ......
Chomekea vizuri shati safi, then panga mabunda ya noti za tzs 10,000 zungusha kiuno kizima nakuambia hachomoki hapo
Mi kwangu naanza kwa kukuuliza, is she your type?, sio unaenda tu kwa mtu ambaye yaani types zenu haziendani kabisa, for example we decent person na yeye ni kicheche kupitiliza, we unakesha kanisani, hujui hata club moja, na yeye club ndio kama nyumbani kwao usiku, wewe ni mlevi, yeye hanywi kabisa, kazoea mapedezyee, mwenzangu na Mimi una gari moja, tena starlet, chunguza ujue ni types gani za Wanaume anapenda, pia kimo, age, body size, elimu, kabila, na hata dini na rangi zao, though hivi, hasa dini, sometimes kama watu wamependana kweli havina uzito, pia angalie anavyoreact anapokuona, je anakufurahia, anakufurahia vipi, as a friend, kibuzi au kama mtu anayekufeel kinoma, yaani kimapenzimapenzi fulani, I mean kuwe na chemistry kati yenu, yaani kama wote mnavutika, mnaonyesha kuvutiwa, mnatamani kuwa karibu kila mara, sio unamwomba umtoe out, anakuambia that day or hiyo day atakuwa yuko busy na hakupi option ya siku nyingine, hakuelezi ni lini mnaweza kutoka, ujue haoni umuhimu, hajisikii kuwa karibu na wewe, je ana mtu au hana, mnatofautiana vipi na that person, kama una sifa anazozitaka na huyo jamaa yake ana mapungufu fulani kwenye huo uhusiano, maybe hamtreat well, hamtoi out, hamthamini, anampiga na kumtukana, huo ni mwanya mzuri wa wewe kumpata, mfanye ajisikie wa thamani, mfanye ajione mtu wa thamani, na wa maana sana kwako, mwonyeshe unavyomjali, na yeye kama ameuona na kuuappriciate upendo wako kwake, atakupa nafasi ya kuwa wake, iwe kama namna ilivyokuwa kwenye ile video ya Ben Pol ya "Nikikupata", BUT kama unaona kabisa hakufagilii, type zenu haziendani hata kidogo, hawezi kubadilika au wewe huwezi kubadilika ili angalau muendane, haonyeshi kuwa interested kumeet na wewe, haonyeshi kukufurahia hasa mnapokutana, Mheshimiwa hapo itabidi uchukue time yako, cause atakuwa kiukweli hana mpango na wewe , na ukijifanya king'ang'anizi atakupeleka puta na atakufanya ATM hata kwa kidogo ulichonacho then akishakufilisi akumwage, kuwa makini!
acha wee...................Duh, mi yeyote type yangu, awe kama JLO or awe kama MwaJuma chupi kubwa.:majani7:
Chomekea vizuri shati safi, then panga mabunda ya noti za tzs 10,000 zungusha kiuno kizima nakuambia hachomoki hapo