Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #241
Njoo unisaidie kumzabaYule mzee naye amepinda kweli kweli anahitaji kuzabwa makofi akili zimkae sawa
Njoo unisaidie kumzabaYule mzee naye amepinda kweli kweli anahitaji kuzabwa makofi akili zimkae sawa
Hapo tu ndiyo ninapokupendeaMimi huwa Sina tabu yoyote.
Happy New Year Binti wa zamani.Hapo tu ndiyo ninapokupendea
Wewe ni ke?Vp mnataka twende pamoja?
Aiseeee..Wewe ni ke?
Kweli sijajua mkuuAiseeee..
MwanaumeKweli sijajua mkuu
Sawa mkuu ,Hilo jina sikulipata vizuriMwanaume
Hakuna mwanamke atakae jiita wolverine hata siku moja. Labda kama anamatatizo ya homonSawa mkuu ,Hilo jina sikulipata vizuri
Sawa bwashee Hilo jina nililisikia kwenye movie nafikiri , hata sijui ni lini ila nahisia hivyoHakuna mwanamke atakae jiita wolverine hata siku moja. Labda kama anamatatizo ya homon
Cameraman alaumiwe kwa hili😠😠😠😠, anatakiwa ale gadi hata 9 akiwa na vest tuu 😡😡😡Usiogope, kama waziri wa ulinzi hajui kutumia binoculars, sembuse mwamba hapo
View attachment 3522519
Mnyama mla nyama.. Yupo kundi moja na honey badger (weasels)Sawa bwashee Hilo jina nililisikia kwenye movie nafikiri , hata sijui ni lini ila nahisia hivyo
Na wewe sasa wajistukia tu kuwa unachunguliwa kisa una kimwamvuli chako cha chini..Mtu akichukua Darubini akawa anainjoy mandhali ya mji wadhani wachunguliwa wewe🤣Sasa mimi nichungulie hicho kizee cha kazi gani?
Hapana kwa kweliMpe Mgane huyo, mchunuku
Kwani mandhari ya mji yako nyumbani kwangu?Na wewe sasa wajistukia tu kuwa unachunguliwa kisa una kimwamvuli chako cha chini..Mtu akichukua Darubini akawa anainjoy mandhali ya mji wadhani wachunguliwa wewe🤣
😆😆 Dah ila Bongo🤔🤔🤲Usiogope, kama waziri wa ulinzi hajui kutumia binoculars, sembuse mwamba hapo
View attachment 3522519