Nimekutana uso kwa uso na jirani akichungulia nyumbani kwetu ๐Ÿ˜’

Hakuna mwanamke atakae jiita wolverine hata siku moja. Labda kama anamatatizo ya homon
Sawa bwashee Hilo jina nililisikia kwenye movie nafikiri , hata sijui ni lini ila nahisia hivyo
 
Sawa bwashee Hilo jina nililisikia kwenye movie nafikiri , hata sijui ni lini ila nahisia hivyo
Mnyama mla nyama.. Yupo kundi moja na honey badger (weasels)

The wolverine has a reputation for
ferocity and strength out of proportion to its
size, with the documented ability to kill prey
many times larger than itself.
 
Na wewe sasa wajistukia tu kuwa unachunguliwa kisa una kimwamvuli chako cha chini..Mtu akichukua Darubini akawa anainjoy mandhali ya mji wadhani wachunguliwa wewe๐Ÿคฃ
Kwani mandhari ya mji yako nyumbani kwangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ