Nimekutuma nyanya kwanini ulete kitunguu?

Tungekuwa na mfumo mzuri wa kusimamia siasa, kwamba siasa haziwezi kuingilia mipango ya Kitaifa na Kuwajibishana kupo kulingana na Katiba, kwa wanasiasa tulionao kwa CCM, huyu Mama angekuwa moja ya machaguo yangu.
 
Ukiutazama vizuri USO wa mama yaani unaongea kabisa kwamba she is feeling sorry for Lissu, long leave mama
 
Ukiutazama vizuri USO wa mama yaani unaongea kabisa kwamba she is feeling sorry for Lissu, long leave mama
Usidanganyike wewe!!!, Huyo maza ni mzuri kwa nje/usoni lkn roho yake sidhani km inawaza mema.Siku moja alipokuwa akijibu hoja kuhusiana na tukio la Lissu alisikika akisema hivi,"Askari Polisi wamefunzwa kulenga shabaha ktk kupiga watu, Askari akikosea hata Risasi moja tu ikikosa shabaha wanamfukuza kazi".Huyu ndiyo mama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…