Sijui umenisoma vizuri? Nimesema, narudia, "ukiutazama vizuri uso" sijasema, "UKIMSIKILIZA vizuri mama"; hizo ni sentensi mbili tofauti sana; i was speaking about the body language ya mama na sio a prepared speach; ujumbe wa mtu yoyote hasa wana ccm wengi, usiwasikilize wanacho kisema, wengi huongea wasio yaamini, mfano ni issue ya chanjo ya CORONA, wale wale waliotukatalia mwanzoni, ndio hao hao leo wana sisitiza habari ya uchanjaji but all in all, ujumbe wao umejificha kwenye body language, watazame vizuri wanavyo ongea, utagundua mdomo hauna uhusiano na kile kilichopo moyoni mwao.