Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
HaiwezekaniMsaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60.
Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
UTI wewe
Malaria were
Typhoid wewe
Na bado unapumua na kudunda!?[emoji3064][emoji3064][emoji3064]nakushauri kapime tena hospital kubwa..!!!