Nimekuwa addicted mkubwa wa video za ngono

Nimekuwa addicted mkubwa wa video za ngono

Miss Curious

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
315
Reaction score
497
Kama title inavyojieleza, yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kwenye group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana know.

Kwa wanaojua magroup ya WhatsApp ya ngono watakuwa mashahidi wa hili kwani kunatumwa video nyingi sana na link za magroup mengine kama hayo kibao.

Hapa nilipo wapendwa nina more than 7 sex charts group katika WhatsApp mpaka aibu mtu kushika simu yangu maana nimeweka app lock kote sasa huwa wanajiliza kwanini ameweka mipasswords yote hiyo atakuwa si mwaminifu.

Nimejitahidi niache tabia hii lakini imenishinda tabia kwani mara nyingi night ndio najikuta very bored najiliwaza kupitia zile video chafu.

Ilifika kipindi nika-leave yale magroup yote but nimejikuta nikiomba link tena na kujiunga upya na kuendelea kufurahia ile vita pendwa hata na wavivu na waoga.

Wapendwa nisaidieni nifanye nini ili niweze kuacha kabisa kutizama video za ngono.

1623662057356.png

Punguza ukubwa wa bando kwenye simu mb 60 kwa siku,mb 200 kwa wiki.ondoa auto download kwenys wasap.epuka kuwa peke yako ndani mida hatarishi,tafuta vitu vya kukukeep busy.kuna hobby nyingi hakikisha unaingia chumbani ukiwa tayari unausingizi na simu uizime na kuiwacha mbali na unapolala.

Pia uangaliaji wa porno huendana na kupiga nyeto,so tafuta mtu wakukutimizia haja zako kiasi cha kutokuwa na hitaji la kuangalia hayo madude na kujichua.

Adiction huachwa taratibu huwezi kuacha tu overnight so jaribu kuacha taratibu.

La mwisho tafuta activity ambayo utaifanya muda ambao huwa kwa kawaida unautumia kuangalia huo ufirauni.tafuta kitu cha kureplace,angalia muvi,kaa na marafiki,fanya mazoezi etc.zingatia hilo.
Tengenza journal unakuwa kila siku unaandika kama umefanya ama laa.ukiweza kutoangalia ndani ya siku 21 bas umefanikiwa.

Chukia hiyo tabia kutoka moyoni,tengeneza mazingira kiasi ukifikiria kuhusu hayo madudu unachafukwa na kuchefukwa nayo.waswahili wanasema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.wasalam
 
Kama title inavyojieleza yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kweny group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana know.

Kwa wanaojua magroup ya whatsapp ya ngono watakuwa mashahidi wa hili kwani kunatumwa video nyingi sana na link za magroup mengine kama hayo kibao.

Hapa nilipo wapendwa nina more than 7 sex charts group ktk whatsapp mpaka aibu mtu kushika simu yangu mana nimeweka app lock kote sasa huwa wanajiliza kwanini ameweka mipasswords yote hiyo atakuwa si mwaminifu.

Nimejitahidi niache tabia hii lakini imenishinda tabia kwani mara nyingi night ndio najikuta very bored najiliwaza kupitia zile video chafu.

Ilifika kipindi nika-leave yale magroup yote but nmejikuta nikiomba link tena na kujiunga upya na kuendelea kufurahia ile vita pendwa hata na wavivu na waoga.

Wapendwa nisaidieni nifanya nini ili niweze kuacha kabisa kutizama video za ngono.
Kila kitu kina faida na hasara japo moja kati ya hizo inaweza kua kubwa zaidi ya nyingine... Naomba kujua faida ya hiyo mambo kwanza.. Kabla ya kukupa ushauri
 
Kama title inavyojieleza yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kweny group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana know.

Kwa wanaojua magroup ya whatsapp ya ngono watakuwa mashahidi wa hili kwani kunatumwa video nyingi sana na link za magroup mengine kama hayo kibao.

Hapa nilipo wapendwa nina more than 7 sex charts group ktk whatsapp mpaka aibu mtu kushika simu yangu mana nimeweka app lock kote sasa huwa wanajiliza kwanini ameweka mipasswords yote hiyo atakuwa si mwaminifu.

Nimejitahidi niache tabia hii lakini imenishinda tabia kwani mara nyingi night ndio najikuta very bored najiliwaza kupitia zile video chafu.

Ilifika kipindi nika-leave yale magroup yote but nmejikuta nikiomba link tena na kujiunga upya na kuendelea kufurahia ile vita pendwa hata na wavivu na waoga.

Wapendwa nisaidieni nifanya nini ili niweze kuacha kabisa kutizama video za ngono.
Wengi wapo hivyo. Ni kuamua tu kuacha basi. Hamna specific strategies
 
Busy Peoples Don't Worry,

Jiweke tu Busy Muda wore, hutokumbuka hayo mavitu.
Una hobbies nyingi ambazo unaweza Ku replace.

Epuka kuwa Alone muda wore.
 
Back
Top Bottom