Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam,
Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa na hao wapenzi wao ili kuondoa utumwa.
Huwa natoa maagizo tu kuwa ukishavuruga utanikuta sehemu fulani, Kisha anakuja na tunaenda kunyandua.
Sihusiki na ushawishi na sio kosa langu, chunga mzigo wako hii pasaka tunakuja kwa kasi kubwa.
Wadiz.