Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mimi ni Me nawapora watu mademu zao bila gharama yoyote wanakuja wenyewe, tafuteni pesaNjoo uniibe na mimi ila sina hela ya kulipa bill zako
Mkuu umenichanganya hapo nikajua we ni Ke unachukua mabwana za watu hadi madem wanapigana na weweMimi ni Me nawapora watu mademu zao bila gharama yoyote wanakuja wenyewe, tafuteni pesa
Kama unapora bila gharama yoyote pesa za kazi gani sasaMimi ni Me nawapora watu mademu zao bila gharama yoyote wanakuja wenyewe, tafuteni pesa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Unafatwa na mizoga na wewe unaona unapiganiwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tabia ya kupora wapenzi wa wenzako hiyo ni ishara kua una nyota ya fenesi lililoiva, ipo siku utapakwa mafuta kisha uliwe [emoji39].
Hii ni chai...Kuna uzi nimekuona umekiri wewe ni mtumiaji wa malaya[emoji23]
Sidanganyi mkuu uzi upo[emoji23]Acha uongo rejea vizuri
Hao mabwege hawaniweziKuna siku utapora pisi ya mjeda M.P
Utafurahi na nafsi
Nahisi umefutwa wanataka watu waendelee kuibiwa na popo wa viwanjaSidanganyi mkuu uzi upo[emoji23]
Sasa kama kama malaya ni mambo yako, hao wapenzi unaowaiba unaangalia nao TV tu au[emoji23]Nahisi umefutwa wanataka watu waendelee kuibiwa na popo wa viwanja