Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Naukubwa wote huu mkuu wangu,je wewe canta ulishawahi kuwa hurted au bado?
nina vichwa hapa mjini wengine wananiacha wengine nawaacha yaani fuull mathematics ila kweli sifanyi ngono
....a little impatience can spoil a great plan....Una haraka au unahasira???? Punguza munkari bidada humu ukipandisha mzuka yatakushinda
kwahiyo wewe unataka kula tu bila kuliwa?nina vichwa hapa mjini wengine wananiacha wengine nawaacha yaani fuull mathematics ila kweli sifanyi ngono
come to me and i will make you happy, and you wont regrate or be hurted again.
kwahiyo wewe unataka kula tu bila kuliwa?
source;JK.
asante aisha! smile unaweza ku2mikia wapenzi wa wili?
Bora usielewe, SMILE wa 2012 si wa 2011 anataka kuwapa TUITION au kitchen party akina dada wawatu ukumbi ni PM hall.Nimesoma mara kumi sijaelewa kabisa muandike lugha inayoeleweka sie wazee hatuelewi. Lakini pole japokuwa sijaelewa nimeona tu watu wanakupa pole namimi ngoja nijiunge nao
habarini wana jf, jamani mwenzenu nimekuwa hurted hii ni mara ya pili uchungu ninaoputa ni kama kidonda nisaidieni nifanyaje?
siku hizi wasanii sana hawa ,usipokuwa msanii na wewe watakukula tu.We unaamini kweli anakula tu vya wanaume alafu yeye haliwi? Hii haiwezekani akikubali kuliwa nae analiwa kiulainiiiiiii
Pole sana bidada. Likuepukalo una heri nalo,anaonekana si mkweli kwa hiyo hata mngeoana angekusumbua tu. Bora umemgundua mapema,tulia utibu majeraha then usonge mbele. Maisha yanaendelea.kisa
ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye
yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia
kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa
,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka
nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept
proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu
mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom
kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita
nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio
situation
kisa ni hi my face boyfrn aliniumza tukiwa mwaka wa tatu mm niko moshi yeye yupo udsm,na niligundua baada ya huyo dada kunipigia nakuniambia kinachoendelea,tukaanza kukata mawasiliano,then 2kaachana kabisa ,nikaka kama mwk hivi nikapata kaka mwingine km mnavyokumbuka nilishaomba ushauri kuwa MPENZI WA ZAMANI ANAJIRUDI! wakati nime accept proposal kwa mtumwingine xboy akajirudi nikakataa coz nilikuwa na mtu mwingine ,cuurent boy alionesha nia akiniambia atakuja hom kujitambulisha, kumbe kaka mwenyewe baada ya kukaa kama miezi sita nikagundua kuwa alishamvisha m2 pete ivyo anasubiria harusi 2! iyo ndio situation
.miguu mitatu wengine hayawani kabisa.pooooooleeeeeeeeee
hahahahahahahahaha! we aweet gal ,kweli siye ni miguu mitatu astakhafurulah! lol hii ni laana kum.dogo sana hilo.yani mbona siku mbili ni nyingi utasahau kila kitu.jikip bize,sali sana na ipotezee tu.miguu mitatu wengine hayawani kabisa.pooooooleeeeeeeeee
mkuu yaani kweli binadamu tunatafsiri mingi sana lol!Kheeee...we bint! Yani sisi wanaume ni GUTA???
Aisee wanadam mna tafsili kali. Yani sisi ni guta? Aisee....!!
....a little impatience can spoil a great plan....
(source: DA)
Bora usielewe, SMILE wa 2012 si wa 2011 anataka kuwapa TUITION au kitchen party akina dada wawatu ukumbi ni PM hall.
Hurted ndio nini?