Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Naukubwa wote huu mkuu wangu,je wewe canta ulishawahi kuwa hurted au bado?
Nishayapitia hayo maumivu na nilijifunza mengi,
Nilitambua ili kuyajua na kuweza kuyathamin mapnz ni ukishaonja maumivu yake,
Nashukuru yale yalipita na naomba yasijirudie tena.