Nimekuwa mlemavu wa hisia za mapenzi

Nimekuwa mlemavu wa hisia za mapenzi

Kama nakuona huko gym unavyoshika Kila Chuma kwa hasira 😂😂😂😂😂that is the way it is budd,things will get hard till become easy you can't avoid love or relationship
Find another girl build a relation start living hivyo unavyokuwa desperate na kupiga machuma ndio unampa ushindi huyo aliyeondoka siku hizi tukiona ex anateseka tunaongeza wine
 
Bado unamaumivu ya kuachwa tu, hamna kingine hapo. Let her go
 
Kama una amani ya moyo kikweli kweli endelea mkuu.
Vinginevyo cheki na mtaalam wa afya ya akili.
# We all need mental diet.
 
Hayo maisha unaishi yalibidi ndo yawe maisha yako kabla ya break up

Personally Mimi sibebi vyuma Ila at my age 26 i used to dictate my self I need a strong human after turning 30 yrs

Ushauri
Usiwaumize wanawake
Wala usiwachukie the best way
to heal ur pain is to focus kujijenga financially and maintain ur status.
 
Wewe ni mlemavu mashuhuri wawezaje kumpa moyo mtu tu mliokutana na gego zote

Aiiii

Acha uchaa mzee baba
 
Daah kaka ...nimejifunza mengi sana kuhusu ilo jambo ni kwamba mwanaume ukijipenda mwenyewe kwanza basi jamii nzima haswaa wanawake huanza kukupenda ....keep it up bro
 
Kudate na mtu ambaye unaona wazi hauna future naye ni kupoteza muda,HIT AND RUN
 
Back
Top Bottom