....🤐🤐🤐Hawa jamaa ni nawakubali sana,kwanza wana makombe mengi, uzi wao ni mwekundu kama wa Simba, mimi Shabiki mkubwa wa Simba huwa nawakubali sana hawa mabingwa wa Africa.
Nawatakia ushindi kwenye mechi zao za club bingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo mbumbumbu umesoma uzi bila kuelewa kilicho andika. Soma Tena utaelewa.Umesahau kama jmosi Makirikiri wanawatia mimba
We shabia alhly sahau chama lako mbumbumbu