Nimekuwa mshabiki wa Al Ahly muda mrefu

Nimekuwa mshabiki wa Al Ahly muda mrefu

Hawa jamaa ni nawakubali sana,kwanza wana makombe mengi, uzi wao ni mwekundu kama wa Simba, mimi Shabiki mkubwa wa Simba huwa nawakubali sana hawa mabingwa wa Africa.

Nawatakia ushindi kwenye mechi zao za club bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
....🤐🤐🤐
 
Mimi huwa ninawakubali sana Asec Mimosa na Jwaneng Galaxy!! Hawa watoto hawajawahi kuniangusha aisee, kutokana na fighting spirit yao ya hali juu.
 
Umesahau kama jmosi Makirikiri wanawatia mimba
We shabia alhly sahau chama lako mbumbumbu
Wewe ndiyo mbumbumbu umesoma uzi bila kuelewa kilicho andika. Soma Tena utaelewa.
 
Back
Top Bottom