Nimekuwa mtanashati mno, hadi nimekuwa kero kwa wengine

Nimekuwa mtanashati mno, hadi nimekuwa kero kwa wengine

Natamani sana niache hii tabia lakini nashindwa kabisa,kwa mfano nikimpakia mtu kwenye mkweche wangu basi akishuka nitapafuta sana pale alipokaa tena nashindwa hata kuvumilia nifike mbali ndio nifute,sasa unakuta hata yule niliyempakia anakuwa hajafika mbali.
UNA ROHO MBAYA ILA HUJIJUI MKUU
 
Yawezekana una obsessive compulsory disorder (OCD) kamuone mtaalamu wa magonjwa ya akili
 
Back
Top Bottom