Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Wengine wanaanza kujielewa wakifikia miaka 35, Tunatofautiana mkuuMiaka 25?!...hahahaha duh nlikuwa cjui km miaka 25 ni umri mkubwa hivyo cku hz
Hongera sana mwanangu.... Tumia internet kwa vitu muhimu kwako na si kwa vitu vya kijinga. Kwa hili kama kweli umedhamiria nakupongeza na asikukatishe mtu tamaa utaweza tu.Kwa sasa ninaingia steji ya utu uzima (Nnakaribia kuingia miaka 25) ninaweza kusema naingia rasmi utu uzima kwa kujitambua to the next level na hivi ndivyo vitu navyotaka kuvifanya katika idara yangu ya mambo ya mtandao internet
1.Nmeacha Kutumia instagram kucheki mtu asienihusu wala kunijua( kama mastaa wa bongo) amepost nini, Hapa naacha rasmi hii kitu kina Diamond waendelee na maisha yao, Mungu awape maisha marefu.
2. Kushiriki katika magroup ya whatsapp yasiyo na faida kwangu, mfano magroup kama wcb au team kiba sijui team fisi ....nimeleft haya magroup hayana faida kwangu tena.
3. Kuunga bundle zenye mb nyingi, hizi bando nlikua naunga ili nicheki youtube, instagram, facebook ,downloading n.k saizi mb 10 za sehemu muhim kama jamiiforums zinanitosha.
4. Kupost maisha fake...amini usiamini huko insta wabongo tunaishi fake life, insta imebadilisha wachafu kuwa matozi wa kugongea pamba na kuazima vitu vya thamani wakijinadi ni vyao....Nmekuwa mtu mzima sasa mafanikio hayangelewi bali yanaonekana, najitambua bye bye fake life
5. Nikiingia kitandani simu naagana nayo mezani, Mimi kwa kawaida nikiingia kulala saa tano nikiwa nina mb basi hapo kulala ni saa saba, Mara niende insta, mara whatsapp mara face book ...huu utumwa nauacha.
Ntaendelea......
Amuoni babu yke le mutuz ndo kwnza kunakucha [emoji4] [emoji4]ni suala la mda tu tunaksbr urd kwa kishndo!!!Upo kwenye kipindi cha depression huna lolote.. Maisha ndio yale yale tu kila mtu na style zake
Kumbe tuko wengi tunaokeshaKatika vitu sinaga ni kufatilia instagram Nani kapost nini....... Hongera kwa Kujitambua . Kwanza Utaboresh afya yako kwa kulala mda unaotakiwa
Le Mutuz apite hapa aone mipango ya kijana wa miaka 25
Kwa sasa ninaingia steji ya utu uzima (Nnakaribia kuingia miaka 25) ninaweza kusema naingia rasmi utu uzima kwa kujitambua to the next level na hivi ndivyo vitu navyotaka kuvifanya katika idara yangu ya mambo ya mtandao internet
1.Nmeacha Kutumia instagram kucheki mtu asienihusu wala kunijua( kama mastaa wa bongo) amepost nini, Hapa naacha rasmi hii kitu kina Diamond waendelee na maisha yao, Mungu awape maisha marefu.
2. Kushiriki katika magroup ya whatsapp yasiyo na faida kwangu, mfano magroup kama wcb au team kiba sijui team fisi ....nimeleft haya magroup hayana faida kwangu tena.
3. Kuunga bundle zenye mb nyingi, hizi bando nlikua naunga ili nicheki youtube, instagram, facebook ,downloading n.k saizi mb 10 za sehemu muhim kama jamiiforums zinanitosha.
4. Kupost maisha fake...amini usiamini huko insta wabongo tunaishi fake life, insta imebadilisha wachafu kuwa matozi wa kugongea pamba na kuazima vitu vya thamani wakijinadi ni vyao....Nmekuwa mtu mzima sasa mafanikio hayangelewi bali yanaonekana, najitambua bye bye fake life
5. Nikiingia kitandani simu naagana nayo mezani, Mimi kwa kawaida nikiingia kulala saa tano nikiwa nina mb basi hapo kulala ni saa saba, Mara niende insta, mara whatsapp mara face book ...huu utumwa nauacha.
6.Sifati mikumbo natumia akili yangu...haha ha yani najicheka kuna kioindi nlikuwa nafatilia habari za mtu flani ana followers wengi yeye ni mtanzanja ambaye yupo nchi za nje, Mtu yupo nje anapost tuandamane...kwanini yeye asije tupigwe naye wote virungu,,,Anaemsifia leo anamponda kesho Unafki mtupu....Nmeacha ule msululu
Ntaendelea......
Mkuu kama wewe ni mwanasaikolojia basi uko vizuri !! Dogo yupo kwenye depression mbaya!! Kwa staili hiyo ipo siku atajinyonga!! Maisha ni ya kwenda nayo taratibu!!Upo kwenye kipindi cha depression huna lolote.. Maisha ndio yale yale tu kila mtu na style zake