Nimekuwa mtu mzima, Yajue maamuzi yangu mapya kuhusu Internet

Heading ingekuwa "Nabadilisha matumizi yangu ya mtandao" ingekuwa sawa,vinginevyo ulichokiandika hapa bado ujana unakusumbua tu.
 
No 2 ndo nmeanza nalo
Kwang
Kutoka kuwa na group 15,
Mpaka 3

Hapa najipgia makof aisee
Maana nlikua nmedhirika na
Hayq magroup
 
sema umeacha baadhi ya mambo mtandaoni na umeanza kujielewa kuwa wewe ni nani na nini unataka na kwanini...!!
ila sio umekuwa mtu mzima wewe bado ni mvulana sio mwanaume
sijaongelea jinsia hapa don't quote me wrong
[HASHTAG]#ova[/HASHTAG]
 
Nimecheka sana! eti "pretty gal post on your wall"
 
Trust me hicho ni kipindi kifupi tu ambacho umepata mood yakuandika hvyo but kama hauna kazi ya kukuweka busy muda mwingi or kama bado upo mwanafunzi...u won't make it.
NB: this is new world, ni ngumu sana kwa umri wako kuishi hivyo hasa kama upo mjini.
 
Daaaah! Mkuu hongera sana, kumbe na wewe unaakili kama yanguuuu,!!! Juzi kati nimei unistall Facebook kwenye cmu yangu sitaki kabisa mambo ya Facebook, kwani haina faida kwangu japo nimetumia zaidi ya miaka tisa
 
Kutumia mitandao kwa faida hi hiari yako, kama ulikuwa unapuyanga bora uache na uwe mstaarabu
 
Kiukwel hata mm,tangu mwaka juzi niliachana na mambo yasiyo na msingi Kwene mitandao! Kiukwel hakuna kitu nachukia kama mtandao wa Instagram n upuuzi tuuu wa masud kipanya
 
Me nataka niondokane na huu utumwa wa kukesha na series
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…