Nimekuwa mtu mzima, Yajue maamuzi yangu mapya kuhusu Internet

Nimekuwa mtu mzima, Yajue maamuzi yangu mapya kuhusu Internet

Heading ingekuwa "Nabadilisha matumizi yangu ya mtandao" ingekuwa sawa,vinginevyo ulichokiandika hapa bado ujana unakusumbua tu.
 
No 2 ndo nmeanza nalo
Kwang
Kutoka kuwa na group 15,
Mpaka 3

Hapa najipgia makof aisee
Maana nlikua nmedhirika na
Hayq magroup
 
sema umeacha baadhi ya mambo mtandaoni na umeanza kujielewa kuwa wewe ni nani na nini unataka na kwanini...!!
ila sio umekuwa mtu mzima wewe bado ni mvulana sio mwanaume
sijaongelea jinsia hapa don't quote me wrong
[HASHTAG]#ova[/HASHTAG]
 
mkuu kama kweli una nia ya hivyoo tafuta nokia obama yako ya batan anza kutumia hapo ndo hutapata hamu ya kuingia mitandaoni

√√lakini still unatumia smart phone na facebook walivyokuwa wambea utaskia "prety gal post on your wall" mkuu ni lazima u log in fasta, na kuepuka habar za watu wengine ni vigumu yani zinakuja tuu kwenye wall yako

√√Kutaka kuacha kutumia internent wakati una smart phone ni sawa na kutembea na stik mdomoni yani mda wote utaitafuna tuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimecheka sana! eti "pretty gal post on your wall"
 
Kwa sasa ninaingia steji ya utu uzima (Nnakaribia kuingia miaka 25) ninaweza kusema naingia rasmi utu uzima kwa kujitambua to the next level na hivi ndivyo vitu navyotaka kuvifanya katika idara yangu ya mambo ya mtandao internet

1.Nmeacha Kutumia instagram kucheki mtu asienihusu wala kunijua( kama mastaa wa bongo) amepost nini, Hapa naacha rasmi hii kitu kina Diamond waendelee na maisha yao, Mungu awape maisha marefu.

2. Kushiriki katika magroup ya whatsapp yasiyo na faida kwangu, mfano magroup kama wcb au team kiba sijui team fisi ....nimeleft haya magroup hayana faida kwangu tena.

3. Kuunga bundle zenye mb nyingi, hizi bando nlikua naunga ili nicheki youtube, instagram, facebook ,downloading n.k saizi mb 10 za sehemu muhim kama jamiiforums zinanitosha.

4. Kupost maisha fake...amini usiamini huko insta wabongo tunaishi fake life, insta imebadilisha wachafu kuwa matozi wa kugongea pamba na kuazima vitu vya thamani wakijinadi ni vyao....Nmekuwa mtu mzima sasa mafanikio hayangelewi bali yanaonekana, najitambua bye bye fake life

5. Nikiingia kitandani simu naagana nayo mezani, Mimi kwa kawaida nikiingia kulala saa tano nikiwa nina mb basi hapo kulala ni saa saba, Mara niende insta, mara whatsapp mara face book ...huu utumwa nauacha.

6.Sifati mikumbo natumia akili yangu...haha ha yani najicheka kuna kioindi nlikuwa nafatilia habari za mtu flani ana followers wengi yeye ni mtanzanja ambaye yupo nchi za nje, Mtu yupo nje anapost tuandamane...kwanini yeye asije tupigwe naye wote virungu,,,Anaemsifia leo anamponda kesho Unafki mtupu....Nmeacha ule msululu

Ntaendelea......
Trust me hicho ni kipindi kifupi tu ambacho umepata mood yakuandika hvyo but kama hauna kazi ya kukuweka busy muda mwingi or kama bado upo mwanafunzi...u won't make it.
NB: this is new world, ni ngumu sana kwa umri wako kuishi hivyo hasa kama upo mjini.
 
Daaaah! Mkuu hongera sana, kumbe na wewe unaakili kama yanguuuu,!!! Juzi kati nimei unistall Facebook kwenye cmu yangu sitaki kabisa mambo ya Facebook, kwani haina faida kwangu japo nimetumia zaidi ya miaka tisa
 
Kutumia mitandao kwa faida hi hiari yako, kama ulikuwa unapuyanga bora uache na uwe mstaarabu
 
Kiukwel hata mm,tangu mwaka juzi niliachana na mambo yasiyo na msingi Kwene mitandao! Kiukwel hakuna kitu nachukia kama mtandao wa Instagram n upuuzi tuuu wa masud kipanya
 
Me nataka niondokane na huu utumwa wa kukesha na series
 
Back
Top Bottom