Nimekuwa mtu napenda chai kupita kiwango

 
Jaribu kutumia na viungo vingine kama ule unga wa soya ilokaangwa,mdalasini n.k kuliko kunywa majani ya chai kila siku kuna tuhuma dhidi ya majani ya chai kwamba yanaleta usahaulifu,sijui kama ni kweli,ila kuhusu kupunguza uwezo wa kufanya tendo la ndoa hiyo nimeprove yanapumguza nguvu kwa kiasi fulani.
 
Mimi situmii majani ya chai ya dukani. Natumia yakienyeji na wakati mwingine mchai chai. Kuna majani yakienyeji huku Arusha na same yanauzika sana niyakienyeji mchanganyiko wa viungo vya chai kama mdalasini , iliki na vingine wanajua wao. Hayo sinawasi wasi nayo sana hofu yangu labda sukar maana hakuna sukar yakienyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni tatizo. Nikuambie? Kama umefika Ulaya utashangaa jinsi chai na kahawa vilivyo vinywaji maarufu na vya muda wote. Hasa kahawa. Kuna nadharia inayosema kuwa '' anything too much is harmfull''. Hapa sasa la kujiuliza ni ''how much is too much''. Wewe unakunywa vikombe vingapi kwa siku? Unaweka sukari kiasi gani? Kwangu mimi kunywa vikombe 5 au 6 siyo vibaya mradi tu usiweke sukari au uweke kidogo. Pia jaribu kutumia ''green tea'' wanasema ina faida kuliko haya majani ya kawaida.
 
Kwasiku me havizid vikombe vitatu na sukar naweka kiasi. Nashkuru sana kwa maoni yako . Mashaka yangu sasa yamekwisha acha ninywe chai maana tayar niko nakikombe cha 3 hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sukari ikianza kukuchapa ulete mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…