Nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote niliowaamini na kuwapenda

Shida ni kuwa amani unaitafuta nje, bila kujua kuwa amani, furaha, upendo vinaanzia ndani yako. Hata uanze uende wapi kama hivyo vitu havimo ndani utabaki kujiona hivyo. Njia rahisi ya kuvipata hivyo vitu ni kujipenda mwenyewe. Love yourself, jipe kipaombele maisha yako yatabadilika.
 

Mkuu pole sana, unahitaji tiba. Jiamini na jipende mwenyewe kwanza. Muombe Mungu akusadie.
 
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👏👌👍👊🤝🙏
 
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👏👌👍👊🤝🙏🆒
 
wewe umeeleza 90% ya ninachokupitia kwa sentensi chache🙄
 
Ni ngumu sana ila jifunze kusamehe ili moyo wako uwe na amani ukiweka kinyongo hutokuwa na furah daima
Maan hata upate mtu atakae kupa furah na yeye pia n mwanadamu Kuna mapungufu yapo
 
Ngum sana.hii tatizo wengi mnatafutaga watu wakiwataka badala yanyinyi muwafae
 
Nilikuja ku realise kwamba dunia haiwezi kukutreat vizuri kwakuwa wewe ni mtu mzuri
 
"ni mahusiano kwa wanaonizunguka, nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote nilio waamini na kuwapenda." Hapo ndo unapokosea,,, hivi kuna watu bado mna upendo ? Dunia imevaa bukta, ishi kivyako, focus focus
 
Kujiua ???

Pole wewe me au ke??
 
Nanukuu maandishi yako yanasomeka "Sina furaha Wala sioni tumaini, sioni umuhimu Tena wa Mimi kuwepo katika ulimwengu huu". Conscious mind+Subconscious mind=Reality, kiufupi aliwazalo mjinga ndo litakalomtokea, acha kuplay victim simama badili mtazamo wako waza mema juu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…