P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,010 Reaction score 6,678 Jun 10, 2012 #21 Tukutafute ili tukufanyie nini?
Lisa Rina JF-Expert Member Joined Dec 3, 2010 Posts 2,461 Reaction score 4,368 Jun 10, 2012 #22 Hayo mapenzi yako yatalingana na maumivu yako ile cku itakapotimia!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Jun 10, 2012 #23 biashara matangazo.
B bia JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 257 Reaction score 30 Jun 11, 2012 #24 ucjali ndugu ni jambo la kawaida kwa umpendae kwa dhati,la msing jiamin we ni mrembo au we ni mkali ndo mana ukapendwa nae hvyo ukishajiamin hautofanya tena kila asemalo bali mtaridhiana
ucjali ndugu ni jambo la kawaida kwa umpendae kwa dhati,la msing jiamin we ni mrembo au we ni mkali ndo mana ukapendwa nae hvyo ukishajiamin hautofanya tena kila asemalo bali mtaridhiana
I isiaka Member Joined Jun 1, 2012 Posts 17 Reaction score 2 Jun 11, 2012 #25 Pole kaka. Nakushaur epuka kukaa peke yako, soma neno la mungu, fanya kaz kwa bidii,.kumbuka cku zote mwanamke ni pambo la nyumba na kuwa na kiasi.
Pole kaka. Nakushaur epuka kukaa peke yako, soma neno la mungu, fanya kaz kwa bidii,.kumbuka cku zote mwanamke ni pambo la nyumba na kuwa na kiasi.