Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?

Nimekuwa mtumwa wa mapenzi nifanyeje jamani?

Hayo mapenzi yako yatalingana na maumivu yako ile cku itakapotimia!
 
ucjali ndugu ni jambo la kawaida kwa umpendae kwa dhati,la msing jiamin we ni mrembo au we ni mkali ndo mana ukapendwa nae hvyo ukishajiamin hautofanya tena kila asemalo bali mtaridhiana
 
Pole kaka. Nakushaur epuka kukaa peke yako, soma neno la mungu, fanya kaz kwa bidii,.kumbuka cku zote mwanamke ni pambo la nyumba na kuwa na kiasi.
 
Back
Top Bottom