Nimekuwa muoga kuomba namba kwa wasichana

Nimekuwa muoga kuomba namba kwa wasichana

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,024
Reaction score
1,377
Vp guyz...

Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kutafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yaan!?

Nipeni uzoefu wenu wanaJF
 
Wenzako hizo namba tunazikimbia...
Kupewa namba ni suala moja, kupokea simu yako ni suala jingine, alafu kuna mizinga hilo ni suala jingine kabisa.
Speaking of mizinga hata mimi naziogopa baadhi ya namba asee. Ni balaa utapewa invoice ndani ya siku moja.
 
1) Masturbation effect
2) Jipange kupangua hoja ndogo ndogo kama "nina mtu wangu" kwa maneno yenye ucheshi kama "basi mi nichukulie kama malaika" na mengineyo

Hiyo namba moja sina uhakika sana🤣
 
Vp guyz...

Nina tatizo ambalo sijui ni kwanini lina nikumba.. kila nikimuona manzi nahisi kama ana mtu yani najikuta muoga kuomba namba.. coz nipo kwnye process za kitafuta mchumba ila kujiamini kwangu kumepotea kabisaa yan!?

Nipeni uzoefu wenu wanaJF
Wewe ni maskini huna pesa. Tafuta pesa kijana acha kupoteza muda.
 
Huna wazee kwenu...waambie sifa za msichana mwenye unataka..wakutafutie...[emoji81][emoji2088]
 
Back
Top Bottom