Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje

jrmpya

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
74
Reaction score
58
Habari za majukumu vijana wenzangu?

Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje na sasa naona ni wakati Wa kuanza kuitendea kazi interest yangu, maana ni biashara inayolipa sana.

Sasa najua kuwa wapo wengi wenye interest ya biashara hii ya viungo lakini bado hawajapata taarifa sahihi juu ya upatikanaji na masoko kwa ujumla, vilevile wapo wengine wanayoifanya na wanaweza wakatusaidia ABC za hii biashara.

Hivyo basi nimeona ni vema kuanzisha group la WhatsApp ili sisi tulio na interest ya kufanya biashara hii hususani katika masoko ya nje, tuweze kujuana vizuri na kusaidiana kwa namna moja au nyingine ili kuweza kufanikiwa katika biashara ya spices.

Wewe mwenye interest kama hii au unafanya biashara ya spices ndani na nje ya nchi tafadhali unaweza jiunga kwenye group la whatsapp kwa kupitia link hii,


Shukrani.
 
jrmpya,
Ungefanya kujumisha na mazao mengine aise kama njegere,Avocado, passion fruits, hoho nk.

Watu wanapenda kufahamu namna bora ya kuexport bidhaa lakini wamekosa maarifa na sehemu sahihi yakupata elimu ndicho kitu ninacho kiona kwetu
 
Ungefanya kujumisha na mazao mengine aise kama njegere,Avocado, passion fruits, hoho nk.

Watu wanapenda kufahamu namna bora ya kuexport bidhaa lakini wamekosa maarifa na sehemu sahihi yakupata elimu ndicho kitu ninacho kiona kwetu
Ni wazo zuri sana, na Mimi nakuunga mkono.

Nalifanyia kazi. Kwa kubadilisha heading na group name.

Shukrani.
 
Group name ni FOODSTUFF EXPORTATION badala ya spices exportation.
 
Hmmm.....exportation ya spices.....[emoji848][emoji848]

Una mpango wa kuanza na bidhaa gani? Ungependa kuanza kufanya biashara na nchi gani? Utatumia njia gani kuhifadhi na kusafirisha hizo spices ili hadi zikifika kwa end user zinakua bado ziko in good shape? Huko unakotaka ku export umechunguza competition gani iko huko? Na unaposema ni "biashara inayolipa sana" je tunaongelea kiasi gani, na ni baada ya muda gani utaanza kupata faida?

I know unaweza kusoma ukasema huyu mtu ni aje anakua na mambo ya ajabu ila ni muhimu sana kufanya analysis ya kitu unachotaka kukifanyia biashara ili ujue kama kipo feasible na kama kitakuletea kipato unachokitaka.

Jaribu kufanya brain storming au better yet, jaribu kwenda physically kwa watu wanaofanya hii biashara ili ujue wewe una fit wapi na wapi unaweza kufanya improvement.

Those are my two cents, and I wish you all the best in your endeavour[emoji8]
 
Labda uishie Africa hii hii tena EA...Hizo mambo had udongo wa zao lako unatakiwa upimwe na wataalam ... maji maji ya njegere contents zake ni ngap?na zinakubalika kimataifa?wakikuta kifinyo (mdudu) ur finished
Sijui kuna mitambo gan isense hakuna vimelea..ukifanikiwa ukipeleka mzigo mara 1 tu ww ni Kidukulilo wa 1..yy anafuata!
hizo process😤!

All the best
 
Filimbi imeshapulizwa nchi za SADC
 
Your absolute right.. Ni lazima kujua hayo yote uliyo yasema ndugu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…