jrmpya
Member
- Dec 3, 2014
- 74
- 58
Habari za majukumu vijana wenzangu?
Nimekuwa na interest ya kufanya biashara ya spices katika masoko ya nje na sasa naona ni wakati Wa kuanza kuitendea kazi interest yangu, maana ni biashara inayolipa sana.
Sasa najua kuwa wapo wengi wenye interest ya biashara hii ya viungo lakini bado hawajapata taarifa sahihi juu ya upatikanaji na masoko kwa ujumla, vilevile wapo wengine wanayoifanya na wanaweza wakatusaidia ABC za hii biashara.
Hivyo basi nimeona ni vema kuanzisha group la WhatsApp ili sisi tulio na interest ya kufanya biashara hii hususani katika masoko ya nje, tuweze kujuana vizuri na kusaidiana kwa namna moja au nyingine ili kuweza kufanikiwa katika biashara ya spices.
Wewe mwenye interest kama hii au unafanya biashara ya spices ndani na nje ya nchi tafadhali unaweza jiunga kwenye group la whatsapp kwa kupitia link hii,
Shukrani.