Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Pruuuu mpaka maka, usafiri ungo, fisi au ufagioHaahhahaha! Usiku unakesha wapi mkuu? au unawahi sana kuamka? au kwenye vikao na kanisani unaenda umeshiba ubwabwa wa kabichi?
HahhhhhaahaaaPruuuu mpaka maka, usafiri ungo, fisi au ufagio
Lala tu mkuu vikao vingi siku hizi ni UMBEA TU
Hilo la miaka minne iliyopita limenigharimu tayari. Aliyekaa pembeni yangu hata hakuniamsha kwa kunigusa tu.Umetupiwa mapepo ya kukufarakanisha na bosi wako.
Katikati ya kikao unakoroma, boss wako anakutazama tu, unachafua hewa ukiwa usingizini, tena kwa sauti ya juu, boss wako anakutazama tu.
Tu udenda tunakuchirizika, boss wako anakutazama tuu.... yaani kifuatacho sasa, Mungu aepushie mbali, muombe sana akunusuru na usingizi huo mzito
Mimi mwembamba, pia nafanya mazoeziKwanza weka mwili wako fiti yaani upunguze unene ila kama uko fiti basi jua kuna shida either hupati muda sahihi wa kulala au una shetani linakusumbua. Kusinzia katika nyumba ya ibada huletwa na Shetani.
Mzee basi hiyo itakuwa ni Sihr (uchawi)...either umeambatana na shetani au umelishwa . Jaribu sana kumuomba Mungu akuondoshee matatizo hayo lakini pia kama una nafasi tembelea katika maduka ya dawa za asili ulizia dawa inaitwa habbat sawdah ( black seeds) nunua pakiti ya mbegu zake zilizosagwa kisha changanya na asali unywe atleast vijiko vitatu daily, pia nunua na mafuta yake ...uwe unajipaka eneo la paji la uso na pembeni ya kichwa kwenye mishipa ya fahamu.Mimi mwembamba, pia nafanya mazoezi
Hivi vitu Sina kabisa Mkuu, nagegeda kwa kuzingatia ratibaPunguza stress na madeni mkuu afu acha tamaa na zile ndoto za kitandani achana nazo ,take this utanishukuru badae
Nashiba kawaida, hata nkinywa chai kavu, usingizi upo palepaleHaahhahaha! Usiku unakesha wapi mkuu? au unawahi sana kuamka? au kwenye vikao na kanisani unaenda umeshiba ubwabwa wa kabichi?
Nashiba kawaida, hata nkinywa chai kavu, usingizi upo palepaleHaahhahaha! Usiku unakesha wapi mkuu? au unawahi sana kuamka? au kwenye vikao na kanisani unaenda umeshiba ubwabwa wa kabichi?
Kusinzia ni aibu alafu naonekana sijaliLala tu mkuu vikao vingi siku hizi ni UMBEA TU