Nimekuwa shahidi katika case ya rape

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Nilikuwa narudi nyumani kama saa kumi na moja na nusu kutoka wilayani kwenda kwenye mji mdogo ninakoishi.
Kati ya vitongoji viwili kuna shama la mkonge na hapo nilimkuta bint mdogo,kama miaka 14 au 15 akiwa anasimamisha gari langu akiwa ameegemea kwenye aiskeli.
Gari langu la kizamani lilisimama kama mita 40 naye akapand a baiskeli na kunikimilia na alipofika hata kala ya salaam akaanza "Baba,wamemkamata mwenzangu wamwemwingiza kichakani".Nikamuuliza unawafahamu nae akajiu "siwafahamu".
Nikapiga reverse mpaka pale alipokuwa amesimama mwanzoni,nikazima gari na kuelekea katika uchochoro ndani ya pori na ghafal akatokea bint aliyeshika kiati kimoja huku akichechemea na nilipomkaribia akatokea kijana kavaa T shirt ya njano lakini kijana alivyoniona akakimbilia nadani ya chaka.
Nilmchukua bint na kumpeleka Polisi na katika mazungumzo akaeleza ya kuwa yeye ni ya yatima na aka narrate the whole episode.
Hofu yangu ni kuwa katika mfumo wetu wa Kipolisi na kimahakama na kwa binti mdogo huyu nahisi rushwa inaweza ikatumika na haki ikapotea.
Katika jukwaa hili kama kuna wanasheria wanaoweza kuisimamia case hii tusaidiane!!!
 
Hapa lazima tujiulize na kuprove je kulikuwa na penetration au haikufanikiwa?kama ipo rape/defilement zita stand,contrary 2 it case itafail au itahusika humiliation
 
habari za kushangaza ni kwamba, kuna watu wanafanya kosa la ubakaji bila wao kujua kama wanabaka. Kisheria, kulala na msichana yeyote mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye si mke wako hata kama amekubali yeye mwenyewe, amekufuata yeye mwenyewe etc, ni kosa la kubaka. try to imagine watu wangapi hapa tz wanatembea na wanafunzi wa shule za msingi na sekondari....kama vyombo vya sheria vikiwakamatwa, hiyo ni rape. kuweni makini, acheni tabia mbaya msijejikuta mmeishia 30 years jela.

bofya hapa kupata haya yote SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 103556View attachment 103556View attachment 103556View attachment 103556View attachment 103556
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…