Nilikuwa narudi nyumani kama saa kumi na moja na nusu kutoka wilayani kwenda kwenye mji mdogo ninakoishi.
Kati ya vitongoji viwili kuna shama la mkonge na hapo nilimkuta bint mdogo,kama miaka 14 au 15 akiwa anasimamisha gari langu akiwa ameegemea kwenye aiskeli.
Gari langu la kizamani lilisimama kama mita 40 naye akapand a baiskeli na kunikimilia na alipofika hata kala ya salaam akaanza "Baba,wamemkamata mwenzangu wamwemwingiza kichakani".Nikamuuliza unawafahamu nae akajiu "siwafahamu".
Nikapiga reverse mpaka pale alipokuwa amesimama mwanzoni,nikazima gari na kuelekea katika uchochoro ndani ya pori na ghafal akatokea bint aliyeshika kiati kimoja huku akichechemea na nilipomkaribia akatokea kijana kavaa T shirt ya njano lakini kijana alivyoniona akakimbilia nadani ya chaka.
Nilmchukua bint na kumpeleka Polisi na katika mazungumzo akaeleza ya kuwa yeye ni ya yatima na aka narrate the whole episode.
Hofu yangu ni kuwa katika mfumo wetu wa Kipolisi na kimahakama na kwa binti mdogo huyu nahisi rushwa inaweza ikatumika na haki ikapotea.
Katika jukwaa hili kama kuna wanasheria wanaoweza kuisimamia case hii tusaidiane!!!