Nimekuwa teja wa matumizi ya simu, naachaje?

Kugundua tatizo ndio mwanzo kutatua tatizo ,,,tupo wengi lkn kikubwa ni kuamua tu kupunguza
 
Ni Kama mimi
 
Yaani niwe na mwanaume tumelala usiku, asinikumbatie mimi mkewe, yeye na simu, siwezi ni uamue kati yangu na simu, simple as that.
Dah,we mke mwema, sisi Wengine ukilikumbatia likali, ukitaka Cha usiku linakuambia subiria asubui, ikifika asubui anakuambia Hadi pakuche anywe chai, aisee Kuna wanawake Ni wavivu Sana,ndio maana tunachepuka
 
Yani Hadi nimehisi nakufahamu mkuu kwa hizi addiction
 
kuwa mkweli hapo kwenye kurasa unazotembeleaga.

Utaje hata zile unazofungaga fasta wife akigeuka usingizini.

Iwe Telegram, iwe Brazzers we taja tu haupo alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…