Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀kheehNipe namba ya mkeo bro,.
Ni Kama mimiNikiingia kitandani naanza kupiga mizunguko jamiiforums, quora, youtube, fb, ressit, whatsapp, n.k yani kama huko reddit nikiingia subredits kama askreddit, off my chest, today i learned, iama, just start, n.k ndo mda unapepea si mchezo
Kuja kustuka saa nane ishagonga hapo na inabidi niamke saa 12 na nusu kujiandaa kwenda kazini, siku nyingine naamka saa moja kwajili ya uchovu.
Yani imekuwa kama uraibu sasa hadi nimeanza kujiogopa.
Kuhusu bando sina uhaba kabisa maana kila siku nina allowance ya gb 3.
Nashukuru jitihada za mke wangu kunishauri lakini imekuwa ngumu sana kuacha hii tabia. (Wenzangu wenye familia sihitaji kuwawekea maelezo ya ziada ila sitashangaa wavulana wakianza kufikiria kwamba sitekelezi wajibu flani ili kuonekana wajuaji 😂😂 )
Dah,we mke mwema, sisi Wengine ukilikumbatia likali, ukitaka Cha usiku linakuambia subiria asubui, ikifika asubui anakuambia Hadi pakuche anywe chai, aisee Kuna wanawake Ni wavivu Sana,ndio maana tunachepukaYaani niwe na mwanaume tumelala usiku, asinikumbatie mimi mkewe, yeye na simu, siwezi ni uamue kati yangu na simu, simple as that.
Nisaidie kuipata chief😀kheeh