KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu wazima.
natamani kutukana kwa hasira.Tusi nililo tukana kimoyomoyo wote mmelijua.Nina hasira kinoma.Itisha ndugu wambie unaoa .Ikishatimia ada wambie mchumba ameingia kwa mtini kalipe shuleWenzetu Kenya wanachangia elimu hapa bado tunachangia ngoma na pombe
Jamani ndugu zanguni salaam.
Mpendwa wenu nimekwama ada, natamani kusoma na nia ninayo, ila tatizo ni mfumo uliopo.
Naomba nikipata mfadhili akalipe moja kwa moja chuo kikuu cha elimu ya watu wazima.