Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

7. Mdhamini ni mtu anayekufahamu vizuri anayeweza kujibu maswali kuhusu wewe akiulizwa.
8. Shuhuda ni wakili au mwanasheria.
Pia soma hiyo fomu Ina maelekezo yote ya namna ya kulipia nakumbuka Kama ukishalipa elfu thelathini ukaweza kujaza fomu wakati unapeleka hard copy unalipa laki na ishirini.
 
Wadhamini wanaweza kuwa wale wale uliowaandika kwenye watu wa kupewa taarifa pale kwenye kipengele no 6.Uliowaweka no 6 unaweza weka hao hao kwenye kipengele no 7. Shahidi unaweza weka mtu mfano hata mwanasheria .
Ahsante mkuu
 
7. Mdhamini ni mtu anayekufahamu vizuri anayeweza kujibu maswali kuhusu wewe akiulizwa.
8. Shuhuda ni wakili au mwanasheria.
Pia soma hiyo fomu Ina maelekezo yote ya namna ya kulipia nakumbuka Kama ukishalipa elfu thelathini ukaweza kujaza fomu wakati unapeleka hard copy unalipa laki na ishirini.
Ahsante mkuu
 
Kuna zile stationery ulienda unafanyiwa kila kitu, ndani ya nusu saa ushamaliza. Humu JF unapoteza muda na pia mpaka waje wakupatie majibu washakutusi. Ungeenda huko stationery.
 
Kuna zile stationery ulienda unafanyiwa kila kitu, ndani ya nusu saa ushamaliza. Humu JF unapoteza muda na pia mpaka waje wakupatie majibu washakutusi. Ungeenda huko stationery.
Nipo mji mdogo, stationery ni za kishamba sana.
 
IMG_0504.jpg
 
Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa:

7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu.

9. Shuhuda kwa mwombaji:
Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au Ni afisa wa uhamiaji.

Je, siku ya kuwasilisha fomu Ofisi ya uhamiaji napaswa kwenda na shngapi?

Na je napaswa kuwasilisha fomu Ofisini siku ngapi baada ya ku download ( yaani isizidi siku ngapi)?
Wewe ni zezeta
 
Amkeni vijana vinginevyo mnatengeneza janga la mapunga wanataka kusaidiwa kila kitu
 
Back
Top Bottom