Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

7. Mdhamini ni mtu anayekufahamu vizuri anayeweza kujibu maswali kuhusu wewe akiulizwa.
8. Shuhuda ni wakili au mwanasheria.
Pia soma hiyo fomu Ina maelekezo yote ya namna ya kulipia nakumbuka Kama ukishalipa elfu thelathini ukaweza kujaza fomu wakati unapeleka hard copy unalipa laki na ishirini.
 
Wadhamini wanaweza kuwa wale wale uliowaandika kwenye watu wa kupewa taarifa pale kwenye kipengele no 6.Uliowaweka no 6 unaweza weka hao hao kwenye kipengele no 7. Shahidi unaweza weka mtu mfano hata mwanasheria .
Ahsante mkuu
 
Ahsante mkuu
 
Kuna zile stationery ulienda unafanyiwa kila kitu, ndani ya nusu saa ushamaliza. Humu JF unapoteza muda na pia mpaka waje wakupatie majibu washakutusi. Ungeenda huko stationery.
 
Kuna zile stationery ulienda unafanyiwa kila kitu, ndani ya nusu saa ushamaliza. Humu JF unapoteza muda na pia mpaka waje wakupatie majibu washakutusi. Ungeenda huko stationery.
Nipo mji mdogo, stationery ni za kishamba sana.
 
Wewe ni zezeta
 
Amkeni vijana vinginevyo mnatengeneza janga la mapunga wanataka kusaidiwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…