TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 496
- 515
Nenda EFL MICROFINANCE utapata hio pesaSawa mkuu nimetembelea Equity,nmb,crdb kwanza wanataka Bank statement iliyopitisha pesa miezi 6 wakati mimi mradi unamiezi miwili lakini pia wanataka dhamana ambayo either ni mali ya kampuni au mmiliki at the same time ndo kwanza najitafuta japo kwenye dhamana sio issue yupo mtu wa kunibeba kwenye hilo ila ndo sio vigezo vyao.