"Mkhutubi" Pretamkuu Dotworld......heshima kwako......
naomba kushare na wewe maktaba yako ya picha.......
wako mtiifu......
Mkhutubi Preta.......
Salamu kwa wote, nimekwama, nina vifaa vyangu naviuza, kama uko vizuri au unaweza kukopa sehemu uvichukue. najua
vitakusaidia sana kufungulia ofc yako rasm.!
Nauza vifaa vyangu vya uganga "tunguli,vibuyu,nyungo,vyungu,mkia wa kenge,takko la Nyani,fuvu la binadamu, viungo
vya albino, ngozi ya fisi na kucha za paka.Bei maelewano nijulishe maana nadaiwa kodi ya nyumba! Fanya hivyo bhana
WEWE SIFA ZA UGANGA UNAZO, pia Wana Jf wengi ni wajanja
Source Bujibuji
Copy St. Paka Mweusi hayo mambo anayajua vema hivyo lazima atakuungisha Boflo usijali!
ye kalanda kaskolo, mwe mwe mwe
nfwile daaaaah, balaa gani hili tena jioni hii.