Nimekwama, naomba mnipige tough wana JF

mkuu umenipata vyema! nilikuwa na angalia baadhi ya zana zangu za kazi zimechakaa... je ni kiasi gani unaweza kupokea kwa vifaa hivyo?
 
sema unadaiwa kiasi gani nikulipie na ninunue hivyo vi2 vyako maana nilikua navitafuta kwa mda mrefu sana
 
jamani boflo mbona unanitisha mkuu lol...........
 
Embu acha kutuaibisha wataala, wewe umeshindwa kuchanganya mizizi na baadhi ya vifaa ili mwenye nyumba agwae?
 
Kaah! Kumbe humu ndani kuna wachawi + waganga! Atakae nunua jamani anijulishe ili niwe mteja wake wakwanza tena aniandalie dawa ya limbwata nimuwekee slave na chimbuvu na dawa ya kuwehuka nimuwekee Evelyn salt
 

Vina insurance!?? hasa huo ungo, wa kwangu umepata ajali juzi kwenye sakata la gesi mtwara, kwa sasa natumia wa kukodisha alionipa mzee Mtambuzi ,ni PM bei mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…