Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Hata Mimi SijamuelewaPoint yako ni ipi sasa?
Kama wanaufanyia hivi mti mbichi. Kwa mti mkavu itakuaje?Nimezuiwa pale Getini.
Nimeambiwa siyo rahisi namna hiyo kuingia.
Nimeambiwa process ya kumuona Lissu ni a bit complicated.
Haki ya Lissu kuonana na jamaa zake.Point yako ni ipi sasa?
Tofauti na lissu, alifanya hvy kwa nani?Haki ya Lissu kuonana na jamaa zake.
Madaraka amesafiri.Nje ya topic naomba kuuliza.
Wiki iliyopita nimeenda Butiama pale Mwitongo, baada ya process zote na kulipia kuzuru kaburi la mwalimu tuliuliza kama Madaraka yupo, yule dada anayepokea wageni akasema yupo ndani, but mara ya kuingia ndani akasema atakuwa ametoka.
Tulipomaliza ziara na kutoka nje tukauliza mtu alikuwa pale nje akasema Madaraka hayupo kabisa Butiama. Sasa najiuliza kwa nini yule dada anadanganya kuwa Madaraka yupo wakati hayupo? Anaona shida gani kusema ukweli?
Sasa kama umeambiwa uende na barua ya mwaliko, mbona umekuja humu jf? Au humu ndipo barua ipo?Nimekwenda pale,nimeambiwa,nahitaji barua ya mwaliko ili niweze kumuona Lissu.
If this is boring,we can remove the thread.
Kama suala ni kumwona tu Kwani huna picha yake?Nimezuiwa pale Getini.
Nimeambiwa siyo rahisi namna hiyo kuingia.
Nimeambiwa process ya kumuona Lissu ni a bit complicated.
Point yako ni ipi sasa?
Hawakukuuliza kwa nini unakwenda kumwona?Nimezuiwa pale Getini.
Nimeambiwa siyo rahisi namna hiyo kuingia.
Nimeambiwa process ya kumuona Lissu ni a bit complicated.
Ulimuuliiza Madaraka Selemani sio..Nje ya topic naomba kuuliza.
Wiki iliyopita nimeenda Butiama pale Mwitongo, baada ya process zote na kulipia kuzuru kaburi la mwalimu tuliuliza kama Madaraka yupo, yule dada anayepokea wageni akasema yupo ndani, but mara ya kuingia ndani akasema atakuwa ametoka.
Tulipomaliza ziara na kutoka nje tukauliza mtu alikuwa pale nje akasema Madaraka hayupo kabisa Butiama. Sasa najiuliza kwa nini yule dada anadanganya kuwa Madaraka yupo wakati hayupo? Anaona shida gani kusema ukweli?
Hawa watu ni watu wa ajabu. sana!, hawakujui wewe ni nani, hivyo hawakulipeleka jina lako ndani,Nimezuiwa pale Getini.
Nimeambiwa siyo rahisi namna hiyo kuingia.
Nimeambiwa process ya kumuona Lissu ni a bit complicated.
Mlitaka wa nini?hamkupokolewa au mlipokolewa?Nje ya topic naomba kuuliza.