Nimekwenda Ukonga leo nimeshindwa kumuona Lissu

Nimekwenda Ukonga leo nimeshindwa kumuona Lissu

Nje ya topic naomba kuuliza.
Wiki iliyopita nimeenda Butiama pale Mwitongo, baada ya process zote na kulipia kuzuru kaburi la mwalimu tuliuliza kama Madaraka yupo, yule dada anayepokea wageni akasema yupo ndani, but mara ya kuingia ndani akasema atakuwa ametoka.

Tulipomaliza ziara na kutoka nje tukauliza mtu alikuwa pale nje akasema Madaraka hayupo kabisa Butiama. Sasa najiuliza kwa nini yule dada anadanganya kuwa Madaraka yupo wakati hayupo? Anaona shida gani kusema ukweli?
Umejuaje kama ni dada aliyedanganya na sio huyo jamaa?!!!
 
Nje ya topic naomba kuuliza.
Wiki iliyopita nimeenda Butiama pale Mwitongo, baada ya process zote na kulipia kuzuru kaburi la mwalimu tuliuliza kama Madaraka yupo, yule dada anayepokea wageni akasema yupo ndani, but mara ya kuingia ndani akasema atakuwa ametoka.

Tulipomaliza ziara na kutoka nje tukauliza mtu alikuwa pale nje akasema Madaraka hayupo kabisa Butiama. Sasa najiuliza kwa nini yule dada anadanganya kuwa Madaraka yupo wakati hayupo? Anaona shida gani kusema ukweli?
Umejuaje kama ni dada aliyedanganya na sio huyo jamaa?!!! Au kwakuwa ukichungua upande wa dada basi
 
Hawa watu ni watu wa ajabu. sana!, hawakujui wewe ni nani, hivyo hawakulipeleka jina lako ndani,
Utaratibu wa kuwaona high profile remandees, ni huu
  1. Ukifika pale unaandikisha jina na kusema unataka kumuona fulani, unasema wewe ni nani wake
  2. Jina linapelekwa ndani kwenye list ya watu wanaoruhusiwa kumuona, kama halipo,
  3. Askari Magereza anatumwa kwa Lissu na kuelezwa fulani anaomba kukuona, aruihusiwe?
  4. Lissu akiruhusu uruhusiwe, jina lako linaingizwa kwenye list ya mnaoruhusiwa kumuona
  5. Mkuu wa zamu anataarifiwa, kisha unapangiwa muda, kama hajapitiliza idadi ya wageni inayoruhusiwa kumuona kwa siku, unasubirishwa wageni wake waliopo wakitoka, unaruhusiwa kumuona, kama idadi imetimu, utaambiwa nenda njoo kesho.
  6. Ukiona umekataliwa bila kusubirishwa, then hayo majamaa ni majinga sana, yatakuwa yamekuhesabu na wewe kwenye kundi la wale manyumbu wakikudhania na wewe nyumbu!, na wewe ulivyo humble simple and down to earth na usivyopenda kusafiria nyota ya jina, usikute wala hukujitambulisha wewe ni nani, hivyo wamekuchukuia poa kumbe mtu ni prince!
P
Sidhani kama kwa sasa wataruhusu kila mtu amuone Lissu. Wameshikwa na hofu!
 
Hongera kwa Moyo wa Ukarimu na Upendo Andrew.
Ni wachache sana watu kana wewe.

Lakini utawala huu katili na dharimu hauwezi kuruhusu uende Kumuona Lissu, Hata ukifuata Utaratibu wote.

Ni watu wengi sana ndani ya CCM wanachukizwa na huo ukatili wa selikali, lakini hawana pa kusemea
Huyu mzanzibari amejua Kutunyoosha watanganyika, Tunatia huruma kwa Mateso makali tunayopitia Tena kuteswa na Mwanamke Kwenye nchi yetu inasikitisha sana.
MIMI BINAFSI NAJUTA SANA KWA BAADHI YA MAMBO YA MUUNGANO ALIOUFANYA BABA YAKO.

Kikwete aliwahi kunukuliwa akisema
"Bora Dokta slaha awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge"

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
RIP MWALIMU JK NYERERE.
Siku WaTanganyika wakiamka na kutambua jukumu lao kwa nchi yao, nchi itarudi kwenye mstari.
Kwa sasa walipo ccm wametanguliza matumbo yao na tamaa zao mbele kuliko maslahi ya Tanganyika!
 
Sasa km hadi wewe mtoto wa Taifa unazuiwa kumuona Lissu, je wengine vipi?
 
Pole! Ulivyo mnyenyekevu wanaweza kukupiga hata vibao hawajui kwamba wewe sio prince tu bali mstaafu wa cheo cha juu .....na walitakiwa kwanza kukupigia saluti
 
Sasa kama prince unafanyiwa hivi wengine sio ndio tunaweza kupigwa na vibao kabisa.

Labda awakujua mkuu wewe ni nani sidhani kama heshima yako wanaweza kuivunjq kirahisi hivyo hata kama mambo ya nchi ayaeleweki.
 
Back
Top Bottom