Nimekwenda Ukonga leo nimeshindwa kumuona Lissu

Umejuaje kama ni dada aliyedanganya na sio huyo jamaa?!!!
 
Umejuaje kama ni dada aliyedanganya na sio huyo jamaa?!!! Au kwakuwa ukichungua upande wa dada basi
 
Sidhani kama kwa sasa wataruhusu kila mtu amuone Lissu. Wameshikwa na hofu!
 
Siku WaTanganyika wakiamka na kutambua jukumu lao kwa nchi yao, nchi itarudi kwenye mstari.
Kwa sasa walipo ccm wametanguliza matumbo yao na tamaa zao mbele kuliko maslahi ya Tanganyika!
 
Sasa km hadi wewe mtoto wa Taifa unazuiwa kumuona Lissu, je wengine vipi?
 
Pole! Ulivyo mnyenyekevu wanaweza kukupiga hata vibao hawajui kwamba wewe sio prince tu bali mstaafu wa cheo cha juu .....na walitakiwa kwanza kukupigia saluti
 
Sasa kama prince unafanyiwa hivi wengine sio ndio tunaweza kupigwa na vibao kabisa.

Labda awakujua mkuu wewe ni nani sidhani kama heshima yako wanaweza kuivunjq kirahisi hivyo hata kama mambo ya nchi ayaeleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…