Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa kumbe siku zangu bado nikajitupa haraka chini ya semi likapita juu yangu kuanzia kichwa mpaka kontena lote.
Sina hata mchubuko nasasa nakunywa K vant.
Mkulungwa makusudi.
Sina hata mchubuko nasasa nakunywa K vant.
Mkulungwa makusudi.