Nimelala katikati ya lami nisikanyagwe na semi. Ningekuwa chapati

Mkuu nisubiri hapo hapo nakuja kukuchukua urudi nyumbani,
Wanajamvi naomba msamaha kwa huyu ndugu yangu.
 
Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa kumbe siku zangu bado nikajitupa haraka chini ya semi likapita juu yangu kuanzia kichwa mpaka kontena lote.
Sina hata mchubuko nasasa nakunywa K vant.

Mkulungwa makusudi.

Pole sana mkuu!!
 
Many people here in jamiiforums are insane I narrowly escaped death instead of thanking God for saving ur comrade u r insulting me and showing signs of disbelief did u want me dead so u can send ur hypocris condolences?
 
Mkuu sio kama watu wanapenda ufe hapana,ila kila wakijaribu kuvuta hisia za urefu kutoka ardhini hadi kwenye kichwa cha semi trailer ambayo sijui ni Scania113,94 or hata 124 uwezekano wa ww kutoka ukiwa salama bin salmin ni Mdogo sanaaa..hiyo distance ni ndogo mnoo halafu ukijumlisha na kitete or wasiwasi ambao utakuwa nao lazima walau suruali ilowe kama sio kwa mbele basi kwa nyuma..hicho ulichokizungumza huwa Jack Chain na wenzake wanapigiaga fix na kuingiza hela,sasa ww unataka utupige fix hivi hivi za kina Jack chain?mkuu ujue tuko uchumi wa kati sasa..
 
Tomaso at his best epic
 
Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa kumbe siku zangu bado nikajitupa haraka chini ya semi likapita juu yangu kuanzia kichwa mpaka kontena lote.
Sina hata mchubuko nasasa nakunywa K vant.

Mkulungwa makusudi.
Hebu kakae tena!
Usikie butamu!
 
Wwe Sasa hivi utasababisha K,Vant ipigwe marufuku!!
 
Serikali ilishapiga marufuku matumizi ya viroba, wewe unavitoa wapi?
 
Back
Top Bottom