Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Unaacha kujipongeza kwa kulala naye.
 
Ulifanya vipo sasa umeishia mitini
 
Wake zao wanaliwa hoviyo hovyo
Na wewe hauna akili kila mwanamke unampeleka geto.

Shukuru huyu jamaa hana mambo mengi ila ukikosea atakutoa meno fala wewe.
Sio meno angepakwa siagi atafunwe taratiiibu
 
Wake zao wanaliwa hoviyo hovyo
Na wewe hauna akili kila mwanamke unampeleka geto.

Shukuru huyu jamaa hana mambo mengi ila ukikosea atakutoa meno fala wewe.
Geto sipeleki kila mwanamke, mimi kwanza siyo mtu wa wanawake. Huyu nilimleta geto baada ya yeye kuniambia hana mume, walishaachnana mume wake yuko mkoani huko. Hapa mjini anafanya biashara ya kuuza nguo za watoto, nikaona huyu atanifaa kuwa mpenzi wangu. Si kwamba mimi ni mtu wa kuleta wanawake geto.
Hii hapa ni moja ya ujumbe wake alionitumia kipindi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…