Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Na huu ni ujimbe ambao huyu mwanamke alinitumia kipindi hicho mwanzoni mwanzoni. Mpaka hapa unaweza kudhania au kuhisi kwamba atakuwa mke wa mtu? Kumbuka alikuwa ananidai mpaka kodi kwamba mama mwenye nyumba anamsumbua kodi imeisha na biashara zake haziendi vizuri, kwahiyo kama naweza kumsaidia nimsaidie kodi.

 
 
Mumewe alikufa HIV
 
Bado kupigwa pumbu tu kubabake huwa mnawaza vipi kwanza? Mke wa mtu hata kama hajakuambia kuwa kaolewa ni vyema ukajipa muda kumchunguza kwanza ujue anakaa wapi na anaishi vipi sio kupalamia...

Ingekuwa mimi hapa sina msamaha ni kutembeza Kende tu
Ni kweli hua wanaume tunapata muda wa kuchunguza? Usiongee kishabiki... lengo hua kutomba tu haraka haraka kwanza ili asibadilishe mawazo ..akili hufunguka baadae
 
Ni kweli hua wanaume tunapata muda wa kuchunguza? Usiongee kishabiki... lengo hua kutomba tu haraka haraka kwanza ili asibadilishe mawazo ..akili hufunguka baadae
Mimi kabla sijalomba lazima nimjue hizo haraka zenu mwisho wa siku mtaingizwa mkuki matakoni alooo
 
Huyo mwanamke kwenye hio picha ndo ulidatishwa na shepu yake, kweli tunatofautiana macho
 
Mimi kabla sijalomba lazima nimjue hizo haraka zenu mwisho wa siku mtaingizwa mkuki matakoni alooo
Kama kweli unafanya hivyo basi hongera bossi. Kwamba unamchunguza labda miezi 6 ama mitatu bila kufanya nae chochote ...basi unacho kipaji aisee..
Anyway pambaneni nao na maukimwi manini makufumaniwa ..ila mim nina mahaba na jini wa kike Sasa...
 
Mama ya toto 3 ina uzuri usiomithirika.

We jamaa punguza nyege, jiunge hata chaputa.
Mkuu, unaongea hivyo labda kwa sababu haujamuona. Ni mwanamke miongoni mwa wanawake wachache walioumbwa kwa udongo mzuri.
Hii ni moja ya picha aliyonitumia WhatsApp
 
Kama kweli unafanya hivyo basi hongera bossi. Kwamba unamchunguza labda miezi 6 ama mitatu bila kufanya nae chochote ...basi unacho kipaji aisee..
Anyway pambaneni nao na maukimwi manini makufumaniwa ..ila mim nina mahaba na jini wa kike Sasa...
Hata haichukui nafasi ya daktari kujua demu kaolewa au lah ni haraka zenu tu.....wiki 2 nakuwa nimeshajua nipige au nimkaushie
 
Mkuu, unaongea hivyo labda kwa sababu haujamuona. Ni mwanamke miongoni mwa wanawake wachache walioumbwa kwa udongo mzuri.
Hii ni moja ya picha aliyonitumia WhatsApp View attachment 3402668
Hapo ulipopanga fanya mpango uchimbe soon jamaa atakuja tu haya maumivu sio poa....dem likali kweli kmmmk unaweza tomba kila sehemu yenye tundu
 
Huyo mwanamke kwenye hio picha ndo ulidatishwa na shepu yake, kweli tunatofautiana macho
Sawa mkuu wanaume tunatofautiana, ila kwa huyu wote tunaweza kuwa na maoni sawa. Ni mwanmke mzuri mkuu. Acha mkuu huyu mwanamke kama kweli ni mwanaume lazima utahitaji hata awe rafiki yako hii ni miongoni mwa picha zake alizonitumia
 
Story za uongo uongo za kutunga kwa jinsi unavyojieleza
 
Weka namba tumsalimie mkuu
 
Ulifanya vipo sasa umeishia mitini
Hamna ni counter attack. nikatokea kulia nikachukua watu wangu na tukamkuta kabisa live anakomaa kuvunja dirisha makelele ya mwizi na kumtepetesha haraka sana.
Niliwapa nafasi ya mwisho wote wapelekwe nyumbani ila wasahau ule mtaa.
 
Mufindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…