Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Wake zao wanaliwa hoviyo hovyo
Na wewe hauna akili kila mwanamke unampeleka geto.

Shukuru huyu jamaa hana mambo mengi ila ukikosea atakutoa meno fala wewe.
Mamndenyi leo kakasirika😅😅😅.
Kiukweli mke wa mtu usimletee ujinga.
Jana tu kuna muhindi amemsifia mke wa jamaa kwamba ni mzuri kwenye fast food.
Yule mumewe kama kusingekuwa na camera angeua mtu.
Aliondoka na alisema narudi.
Huwezi kumsifia mke wangu huku mi nipo hapa.
 
Story za uongo uongo za kutunga kwa jinsi unavyojieleza
Huenda mimi siyo mwandishi mzuri au nimeshindwa kuelezea matukio mwanzo mpaka mwisho, ila hii syo stori ya kutunga. Na ushahidi nimeweka
 
Wewe umri wako under 25 unakufanya uwe mshamba wa mapenzi. We endelea kujipigia tu. Huyo mume wake nae ni mshamba tu,yeye badala apange mikakati ya kukupaka futa yeye anaenda kujiongezea tatizo kwa malaya. Jipigiage tu. Sema nini? Soon utaachiwa kulipa Ada za hao watoto
 
Wanaume watano kila mmoja akituma 20000 basi kwa siku ana 100000 biashara nzuri sana hii. 😂 😂
Kwa mwezi ana ana si chini ya millioni 2.5. Zaidi ya mshahara wa daktari bingwa 😂 😂 😂 haina kodi
 
Ila wanawake dddaahhh
Nimecheka kama mwehu 🤣🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…