Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Kulala na mke wa mtu unajitafutia laana katika maisha yako ndugu yangu:

Achana na wake za watu kabisa:
Umesoma maelezo yote mkuu? Nilikutana naye mtandaoni, akasema hajaolewa, anaishi mwenyewe mpaka akawa ananiambia nimsaidie kodi ya nyumba. Na mambo mengine mengi kwamba hana mume.
Sasa hapo unanilaumu kwamba nimelala na mke wa mtu?
Isitoshe mume wake mwenyewe baada ya kuzungumza naye kaniambia mimi ni mtu wa tano anakuta mawasiliano ya namna hiyo kwenye simu ya mke wake,
Huwa anampiga nusu kuua lakini haiachi hiyio tabia ya kuwa na wanaaume pindi akienda nje ya nchi

Na bado hamuachi mke wake kwa sababu anasema wamezaa mtoto mmoja na akimuacha mtoto atateseka.
Kwahiyo hapa sioni sababu ya kunilaumu mimi kwamba nimelala na mke wamtu.
Na kama angeniambia ni mke wa mtu nisinge hangaika naye. Niliendele kuhangaika naye kwakuwa alinimbia hajaolewa.
 
Uzinzi ni hatari!
 
We nae ulitembea na Malaya wa Zambezi tu iogope sana ubungo kijana utaishia kuvaa pampasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiogopa Ubungo niende wapi mkuu ambapo si sehemu ya kuiogopa?
 
Fanya ujiga wako wote lakini kamwe usitembee na mke wa mtu,na binti ambaye umri wake ni Rika la mwanao.
 
Mkuu, unaongea hivyo labda kwa sababu haujamuona. Ni mwanamke miongoni mwa wanawake wachache walioumbwa kwa udongo mzuri.
Hii ni moja ya picha aliyonitumia WhatsApp View attachment 3402668
Mzee labda kwakua uzuri wa kitu/mtu upo machoni pa mtazamaji.
Kwang hiyo sio pisi ya kuniendesha, ina vipengele vingi.
 
Hahhaha... Kweli aisee "Mkuu" ni neno la JF. Hadi wanawake humu wanalitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…