Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

Shida ni mbaya,wake za watu wengi wanaliwa sababu ya kuomba pesa hovyo.Kwasasa naona kinyaa sana kumvua Pichu mke wa Mtu labda sababu nimeona
Kipindi Cha nyuma nilikula zaidi ya wanne sababu ya kuwapa fedha.shida mbaya na mbaya zaidi wengine wanatoa mpka tiggo Dah.
Muhimu usimuonee huruma mke wa Mtu akililia Wala usimkopeshe sababu ni ngumu kumdai
 
Hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…