Nimelazimika kula nyama mbichi ya ng'ombe leo. Madhara ni yapi?

Nimelazimika kula nyama mbichi ya ng'ombe leo. Madhara ni yapi?

Sawa nalifanyia kazi hili mara moja. Ila nachukia mno nikiudhiwa.
Kuna siku nilikuwa Ulaya, nchi fulani nikakuta kuna mjadala. Ulikuwa na wa nini? Walikuwa wameweka sehemu yenye vyombo vya udongo kama sahani, bakuli, vikombe na mtu anapokasirika anapata sehemu ya kwenda kutolea hasira zake kwa kuvunja vunja vile vyombo.
 
Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi.

Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho yangu yalikuwa na rangi nyekundu. Ili kutuliza hasira ikabidi nile nyama mbichi...
Unge google madhara kabla ya kula.. au haukuwa na bando?
 
Umefanya jambo la i8pumbavu sana si mda utaanza kulia.mooo
 
Back
Top Bottom