Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Tunafuraha ndiyo. Tumewazuia majizi nyie. Wajinga ni wale waliodhani Tundu Lisu atashinda wakiwa 8500 KM. Think about it.
Mjinga ni asiye juwa kama ni mjinga mjinga ni yule ana danganywa bila yeye kujuwa!
Mjinga ni yule ambaye huona giza ni mwanga
 
Hukuchagua. Kura zilipigwa na makada zikawekwa vituoni. Bora ungelalamika hayo kama kura zetu zingehesabika. Ndo maana iliwalazimu kubeba wanafunzi na wanamiziki ili muonekanae mnapendwa. take it from me, zingehesabika kura halali hata milioni moja msingeipata kwasababu nchi ilisha washinda kipindi cha miaka mitano. Ndo maana jeshi ndo limeshika hatamu kwa kila sekta.
Trafiki wa barabarani ndo sasa hivi ni TRA. Nenda kariakoo maduka ya maana siku hizi hakuna.
Quality Centre ( Mtava) maduka takribani yote yamewekwa kufuri, kiufupi nchi imesimama. Kama jiwe ataendele kushupaa miaka mingine mitano tutakuwa kama wazimbabwe.
 
Polisi wameua wanne usiku huu huko Pemba. Hiyo ni kete nyingine ya wakili Amsterdam.
Kule Njombe na Tunduma CCM wawili wameuawa na waliofanya mauaji ni wanachadema baada ya kelele na kuchagizwa na beberu Amsterdam
 
Umetumia nauli ya bure ndugu.Ilikuwa rahisi tu,kura yako ingebebwa kwenye begi na za wenzako.
Anyway umesahau kuweka namba ya simu.
 
Vijana Wamekosa Kazi Miaka Nenda Rudi Ila hakuna mwanasiasa aliyesema waandamane,Juzi wakina Faru john wamekosa ulaji wanataka watu waandamane..
 
Ndugu zangu,

Nimeahirisha kufanya biashara ya mamilioni ili kuilinda nchi yangu dhidi ya mabwanyenye.
Safi sana, uchaguzi umeisha sasa weka hadharani biashara zako ili ulipe kodi stahili tujenge uchumi
 
Sawa ongeza na zingine kama hizo za kumsindikiza babako ICC.
 
Bwege tu wewe
 
Polisi wameua wanne usiku huu huko Pemba. Hiyo ni kete nyingine ya wakili Amsterdam.
Polisi wanaua wangapi Amerika kila siku ya Mungu? Wengi wao wakiwa wa rangi yako.

Wazungu wa Ulaya wanawaua wangapi kwenye Bahari ya Mediterania? Wakiwaacha watu wanao onekana kama wewe wakizama baharini. Alafu wewe unadai wazungu wakupende wewe kwa sababu wewe ni mtanzania kutoka Zanzibar. Aisee kafie mbali huko. Hatutaki kuuona mziga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…