Nimelazwa hapa MOI,kiherehere na ushamba wangu ndio umenifikisha hapa

Bank ulienda kujilipia lile deni la taifaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maana sii kila mtu anapenda kuishi na madeni.
haah haah,si mmeninyima muongozo wa kuanzia wapi,napambana sana hilo deni nililipe,
 
ha ha hah a ha hahaaa,ulichonifurahisha ni kitendo cha kuendelea kuchat hata kama bado una appointment ya hogo la shingo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…