MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pole mkuu.
Nakumbuka jasho lilivyonitoka nmb house kisa mlango
haah haah,si mmeninyima muongozo wa kuanzia wapi,napambana sana hilo deni nililipe,Bank ulienda kujilipia lile deni la taifa😀😀😀😀 maana sii kila mtu anapenda kuishi na madeni.
hahah haa haha,kabsa ngojea niangalie,lkn naogopa sana zile ngazi za kutembea cjui itakuwaje?Darling, hivi vihela itabidi twende holiday USA upate exposure kidogo
Duuuh!! ha ha ha changa la macho hili yani umezibwa hivyo humu umeingiaje na kuandika yote haya?!!asante mkuu,nashukuru sana
![]()
hahahah wewe kwani umeshapunguza la kwako mkuu?Bank ulienda kujilipia lile deni la taifa😀😀😀😀 maana sii kila mtu anapenda kuishi na madeni.
ha ha hah a ha hahaaa,ulichonifurahisha ni kitendo cha kuendelea kuchat hata kama bado una appointment ya hogo la shingo!Long story short,baada ya kufika kwenye mlango wa hizi benki moja za kisasa nikawa natumia nguvu nyingi sana kufungua mlango,kumbe nilivyokuwa nafanya sivyo ,yaani unatakiwa ukikaribia mlango wewe endelea kutembea tu mlango unasense kuna mtu then unajifungua wenyewe,washkaj na mademu waliokuwa karibu walinicheka sana mara "yaani nyie wasukuma tokea ndg yenu awe mkuu mnajidai mnajua kila kitu" nilifadhaika sana nikawasamehe.
Wanasema fool me once shame on you,Ilipofika muda wa kutoka niliulenga mlango vizuri halafu nikafumba macho nakutembea kwa spidi ya hatari ,kumbe kitu nilichokuwa sijui ni kuwa umeme ulikuwa umekatika na wateja wote wanatumia mlango mwingine,nimekuja kushtuka niko MOI.
Dokta ananiambia hapa shingo imeteguka na ninahitajika kufungwa POP ya shingo,maombi yenu tafadhali.
Akikujibu hili uniite mkuuDuuuh!! ha ha ha changa la macho hili yani umezibwa hivyo humu umeingiaje na kuandika yote haya?!!
Siyo kupunguza, nilishamaliza mkuu.hahahah wewe kwani umeshapunguza la kwako mkuu?